Klabu ya Yanga June 17 2016 imetangaza kufanya usajili wa kiungo
mshambuliaji wa kimataifa wa Zambia aliyekuwa anaichezea klabu ya FC
Platinum ya Zimbabwe Obrey Chirwa kwa mkataba wa miaka miwili.

Obrey Chirwa yupo katika kikosi cha timu ya taifa ya vijana chini umri wa miaka 23, anakuwa staa wa tatu kujiunga na Yanga akitokea FC Platinum ya Zimbabwe, baada ya Donald Ngoma na Thabani Kamusoko kusajili na wao wakitokea klabu hiyo msimu uliopita

إرسال تعليق