Mwanamitindo kutoka nchini Urusi, Viki Odintcova amefanya jambo
ambalo lingeweza kuhatarisha uhai wake wakati akiwa katika kazi yake
hiyo.
Mrembo huyo mwenye miaka 23 amepiga picha (photoshoot) nchini Dubai akiwa katika jengo la Cayan Tower ambalo lina urefu wa takribani futi 1000. Baada ya kumaliza kazi hiyo, Viki aliandika katika mtandao wa Instagram ujumbe wenye lugha ya kirusi ukisomeka, “I still cannot believe I did it. Each time you view sweat ladoni You did not believe? Watch the new videolink in bio!”
Tazama picha zaidi za mrembo huyo wakati akifanya photoshoot nchini Dubai.

Post a Comment