Mabloggers
na Wananchi na Wanafamilia wakiwa katika viwanja vya Hospitali ya Amana
Jijini Dar es Salaam wakiuaga Mwili wa Marehemu Jenifer Livigha maarufu
kwa Jina la Chinga One mmiliki wa Blog ya www.chingaone.com, amefari
dunia juzi 18-2-2017 nyumbani kwake kinyerezi Jijini Dar es Salaam na
kuagwa leo katika viwanja vya Hospitali ya Amana Ilala Jijini Dar es
Salaam kwa ajili ya kusafirishwa Kijiji kwao Nachingwea kwa ajili ya
mazishi.
Mabloggers mbalimbali wa Jumuiya ya Tanzania Bloggers Network wakiwa
katika viwanja vya hospitali ya Amana Ilala wakisubiri kuuanga mwili wa
Marehemu Jenifer Livigha kwa ajili ya kusafirisha kijiji kwao Wilayani
Nachingwea kwa ajili ya mazishi
Mabloggers wakitafakari na Mwenyekiti wao wa TBN Mushi Jouchim mwenye
fulana ya mistari akiwa na mkoba katika viwanja vya hospitali ya Amana
Jijini Dar es Salaam walipofika kuuaga mwili wa marehemu leo
mchana.21-2-2017
Post a Comment