MAN CITY BADO TISHIO KATIKA USAJILI ULAYA

Manchester CityKLABU ya Manchester City inawawania wachezaji wa Newcastle, Fabricio Coloccini na wa Liverpool, Daniel Agger kama mbadala wa Joleon Lescott, ambaye anaweza kuondoka Eastlands.


PENDEKEZO la Edin Dzeko kuhama Manchester City na kutua Bayern Munich liko shakani kutimia, kufuatia vigogo hao wa Ujerumani kutupa ndoana zao kwa mshambuliaji wa Wolfsburg, Mario Mandzukic mwenye umri wa miaka 26.

Post a Comment

أحدث أقدم