MKUTANO WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA NA WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR
Baadhi ya Wajumbe wa Tume ya mabadiliko ya Katiba wakiwa katika Mkutano wa Tume hio na Waandishi wa Habari uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar. |
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar. |
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar. |
Mwandishi wa Habari Kutoka Gaazeti la Majira Mwajuma Juma akiuliza
maswali katika Mkutano wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba uliofanyika
Bwawani Mjini Zanzibar.
|
Mwandishi wa Habari Kutoka Idara ya Habari Maelezo akiuliza maswali katika Mkutano wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar |
إرسال تعليق