Daktari mmoja ambaye pia ni mwanafunzi wa chuo cha udaktari nchini Ghana
anashikiliwa na polisi kwa kosa la kumlazimisha msichana mmoja nchini
humo kufanya naye mapenzi wakati alipoenda ofisini kwake kwa lengo la
kutoa ujauzito. Daktari huyo anayefanya kazi kwenye hospitali moja
iliyopo Madina mjini Acra Ghana alikutwa na kosa hilo baada ya Anas
Aremeyaw (mwandishi wa habari) kutega kamera kwenye chumba cha kufanyia
kazi hiyo baada ya kupata taarifa ya kuwepo kwa
vitendo hivyo viovu kutoka kwa daktari huyo ambapo ndipo aliponaswa na kamera hiyo akilazimisha ngono kutoka kwa mteja wake aliyefika siku hiyo kwa ajili ya huduma hiyo na daktari alipata hamasa ya kutaka ngono baada ya mteja wake kutoa nguo zake.

Daktari huyo alimtishia mteja wake kuwa hatatoa ujauzito huo kama
hatakubali kufanya naye ngono.Inasemekana kuwa daktari huyo ameshatembea
na wanawake zaidi ya 52 kwa nyakati tofauti kwa kutumia njia yake hiyo
ambao wengi wao wana umri kati ya miaka 20-40.
Post a Comment