![](http://2.bp.blogspot.com/-NzfGafoO-6Y/UEOElEwNVyI/AAAAAAAAHRE/-kZ8-Z1lV2M/s1600/1.jpg)
Majina ya walioteuliwa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Emmanuel Nchimbi kuchunguza mauaji ya mwanahabari, Daudi Mwangosi ni pamoja na:
- Jaji Mstaafu Steven Lihema - Mwenyekiti wa Tume
- Theophil Makunga (Tanzania Editors Forum (TEF))
- Pili Mtambalike (Media Council of Tanzania (MCT))
- Kanali Wema Wapo (JWTZ)
- Isaya Mangulu, Mtaalamu wa Mabomu
Tume hiyo imetakiwa kuja na majibu katika baadhi ya maswali yanayotia utata juu ya mazingira mazima ya kifo cha marehemu
إرسال تعليق