Wakiwa wameingizwa ndani ya Gari la polisi
Huu ulinzi wa nguvu Eneo la Ikulu
Add caption |
Picha hizi nimepiga mimi na habari hii ninayo mimi ANDREW CHALE-wa Tanzania Daima ambae yupo eneo la tukio
Ulinzi Umeimarishwa hapa
ichani
ni wafuasi wa kidini wa kiislamu wakiwa wametekeleza hadhma yao ya
kuingia IKULU mapema leo lakini walizibitiwa. jumla ya waislam hao wa
kidini walikuwa 6, waliokamatwa.
Picha zote na Mdau wetu Andrew Chale
إرسال تعليق