J.LO SASA NI MTU MZIMA OVYO, AJIACHIA NUSU UCHI NA 'KISERENGETI BOY' CHAKE

Legs on show: Jennifer Lopez steps out in a minuscule dress to celebrate her sister's birthday in Paris
Angalia miguu: Jennifer Lopez akifurahia na marafiki Paris
Akiwa katika ziara yake ya Ulaya, Jennifer Lopez mwenye umri wa miaka 43 sasa, jana alihudhuria pati ya birthday ya dada yake Lynda mjini Paris, Ufaransa. Cheki kivazi chake wakati wa kupati...

Party night: The 43-year-old was in a celebratory mood as she enjoyed a night off from her tour to spend it with loved ones
Usiku wa kupati: Mama wa miaka 43 cheki alivyokuwa anajiachia
Ooh la la: Jennifer bared her flesh in the LBD with silver sequin detailing during her night in the French capital
Ooh la la: Jennifer kwa raha zake
On form: The American Idol judge was joined by her toy boy boyfriend and backing dancer Casper Smart for the celebrations
Dogo anakula zigo: Akiwa na boyfriend wake na dansa wake, Casper Smart katika pati hilo
Flashing the flesh: Lopez's boyfriend stood on the chair as she sat down cross legged at their first party venue of the evening
Dogo akilewaa!: boyfriend wa J.lo akiwa amesimama kwenye sofa na viatu vyake vinavyoingia chooni, wakati wenzake wanakaa...yupo jirani na mpaja wa mama mtu mzima ovyo...
Having fun? Lopez was seen sipping on champagne as she marked sister Linda's birthday in the French capital
Full bata? Lopez akila raha za dunia
Cheers! The singer has been busy performing on stages across Europe as she continues her world tour
Alipoanza kukolea sasa! Cheki mtu mzima ovyoo anavyopati...
Wining and dining: Lopez took some time out to have a moment with her boyfriend Casper Smart, who sat by her side throughout
Anamkoromea dogo: Lopez akizungumza na boyfriend Casper Smart
Entourage: The American Idol judge's friends moved to the city's Buddha Bar to enjoy a birthday meal together
Kwa raha zao: Bibi na bwana...
Letting her hair down: Jennifer certainly seemed to enjoy her night off as she was surrounded by her nearest and dearest
Bata kwa kwenda mbele: Jennifer akikata maji kama anashindana
Close: Earlier in the day before the party, Jennifer was seen out shopping with Casper and her daughter Emme
Mapema mchana kuelekea usiku wa pati, Jennifer alionekana kibwana chqake wakifanya shopping na kabinti kake, Emme
Quality time: The superstar covered up a bit more for the day time outing while Casper took hold of her daughter
Casper amebeba mtoto, J.lo anakula raha za dunia
Busy lady: She has surrounded herself by friends and family as she makes her way around the different European cities
Ameongozana na kabinti kaker

SOURCE: http://www.dailymail.co.uk

Post a Comment

أحدث أقدم