HII NDO RIPOTI YA MTANDAO WA MSN |
Kuna tetesi kuwa Ray C kwa sasa kawa teja la kutupwa na kwa sasa
amelazwa hospitali moja huko mbulu.
Dar kawakimbia waandishi wa habari.
Tetesi zaidi zikipatikana zitaletwa kwenu wanajamvi.
Uteja wake
umemfikisha mahala pa kuwa akikutembelea nyumbani kwako, hasa ndugu
lazima aondoke (aibe) na chochote hata kama ni ndala, kama ilivyo kawaida
ya mateja wengine.....
إرسال تعليق