Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa akiwa na Waziri wa Fedha wa
Uganda Bi. Maria Kiwanuka wakibadilishana mawazo katika chakula cha
jioni kilichoandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Jijini Tokyo –
Japan.
Donald Kaberuka Rais
wa Benki ya Maendeleo ya Afrika akimsikiliza kwa makini waziri wa Fedha
Dkt. William Mgimwa wakati wa chakula cha Jioni Jijini Tokyo – Japan
Wajumbe wa Mkutano huo wakiwa katika chakula cha jioni, wa mwanzo
kabisa ni Gavana wa Benki kuu Malawi akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya
Fedha ya Malawi.
Mhe. William Mgimwa Waziri wa Fedha akichangia mada juu ya jinsi gani
waafrika wanaweza kujikomboa kwa kupitia Benki ya Maendelea ya Afrika
katika hafla ya chakula cha jioni Jijini Tokyo- Japan
Waziri wa Fedha akiwa na rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Donald
Kaberuka katika kikao cha faragha jijini Tokyo –Japan.
إرسال تعليق