SAMUEL ETO’O, ALEX SONG WASHINDWA KUIVUSHA CAMEROON AFCON 2013… NI BAADA YA KUSHINDA LEO 2-1 DHIDI YA CAPE VERDE NA HIVYO KUTOLEWA KWA KIPIGO CHA JUMLA YA MAGOLI 3-2… ETHIOPIA YATINGA FAINALI ZA AFCON 2013 KWA SHERIA YA MAGOLI YA UGENINI BAADA YA KUSHINDA 2-0 DHIDI YA SUDAN LEO

fainali zijazo za Afcon 2013



Matokeo ya mwisho kufuzu  
LEO: Oktoba 14,  2012
SOKA | Afcon 2013
 

 
 
 
 
 
 
Matokeo: Ethiopia 2-0 
Sudan - Addis Ababa
Matokeo ya Jumla: Sudan 5-5 Ethiopia
Ethiopia wamefuzu kwa faida ya magoli ya ugenini

Matokeo: Cameroon 2-1 Cape Verde  -Yaounde-
Matokeo ya Jumla: Cape Verde 3-2 Cameroon
Cape Verde wamefuzu kwa mara ya kwanza fainali zijazo za Afcon 2013 kwa ushindi wa jumla wa magoli 3-2.

Matokeo: Angola 2-0 Zimbabwe – Luanda
Matokeo: Angola 2-0 Zimbabwe – Luanda
Matokeo ya Jumla: Angola 3-3 Zimbabwe
Angola wamefuzu kwa fainali zijazo za Afcon 2013 kwa faida ya magoli ya ugenini.

MATOKEO YA JANA JUMAMOSI (Oktoba 13, 2014)
Matokeo: Malawi 0-1 Ghana - Lilongwe
Matokeo ya Jumla: Ghana 3-0 Malawi

Matokeo: Botswana 1-4 Mali - Gaborone
Matokeo ya Jumla: Mali 7-1 Botswana

Matokeo: Uganda 1-0 Zambia - Kampala
Matokeo ya Jumla: Uganda 1-1 Zambia
Zambia wameshinda kwa penati 9-8 

Matokeo: Nigeria 6-1 Liberia - Calabar
Matokeo ya Jumla: Nigeria 8-3 Liberia

Matokeo: Tunisia 0-0 Sierra Leone - Monastir
Matokeo ya Jumla: Sierra Leone 2-2 Tunisia
Tunisia wamefuzu kwa faida ya magoli ya ugenini

Senegal 0-2 Ivory Coast - Dakar
Mechi imevunjwa kwa sababu ya vurugu za mashabiki

Matokeo: Morocco 4-0 Msumbiji - Marrakech
Matokeo ya Jumla: Msumbiji 2-4 Morocco

Post a Comment

أحدث أقدم