MILOVAN AKIKASIRIKA HASIKILIZI LA MTU, MTAZAME HANS POPPE SASA


Kocha Mkuu wa Simba, Mserbia Profesa Milovan Cirkovick, akisikiliza anayombiwa na Meneja wa timu, Nico Nyagawa kulia na Daktari, Cossmass Kapinga
wakati wa mchezo wa jana wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. timu hizo zilitoka 0-0.

Vigogo wa SimbaSC 
wakati wa mchezo wa jana wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. timu hizo zilitoka 0-0.
 

Makocha wa makipa,Juma Pondamali wa Coastal Union na James Kisaka wa Simba SC, aliyeipa mgongo kamera wakipongezana baada ya mchezo wa jana wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya timu zao Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. timu hizo zilitoka 0-0.
Mwenyekiti wa Friends Of Simba, Zacharia Hans Poppe kulia akijadiliana na wenzake wakati wa mchezo wa jana wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. timu hizo zilitoka 0-0

Post a Comment

أحدث أقدم