Waandishi wa Habari kutoa Duniani kote wakiwa kazini katika Mikutano hiyo.
Viongozi wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) wakiwa kwenye ufunguzi wa mkutano kutoka kulia ni rais wa Benki ya Dunia Dr. Jim Yong Kim akifuatiwa na katibu wake baada ya Katibu
ni Bw. H.E. Rial Salamah, ambaye ni mwenyekiti wa Mkutano huo na Gavana wa Benk kuu ya Lebanon na wa mwishoni ni Mkurungezi Mtendaji Shirika la fedha la Kimataifa Bi. Christine Lagarde Jijini Tokyo- Japan.
Mawaziri wa Fedha, Magavana pamoja na Wajumbe waliohudhuria mkutano wa Benki ya Dunia - IMF wakifuatilia kwa makini hotuba aliyokuwa anaiwasilisha mwenyekiti wa mkutano wa IMF
na WB katika ufunguzi wa mkutano huo Jijini Tokyo – Japan
إرسال تعليق