Naibu meya wa Manispaa ya Iringa Gravas Ndaki akishangaa ajali ya
karne yenye maajabu makubwa kwa mkoa wa Iringa ,ajali iliyotokea
usiku wa leo eneo la Hoteli ya kati (makosa) au CRDB ya zamani katika
barabara ya Iringa -Dodoma,hakuna majeruhi wala aliyepoteza maisha
Askari wa usalama barabara nao washangaa kuona ajali kama hii katikati ya mji
Mmiliki wa gari aina ya RAV 4 iliyogonga gari na kulipanda juu akiwa haamini kilichotokea
Huyu ndie mmiliki wa RAV4 inasadikika ni mfanyakazi wa Tanroads mkoa wa Iringa
Dereva wa Taxi yenye
namba za usajili T 510 AYUKelvin Kaduma akiwa salama kabisa
Wazungua ambao ndio wanategeneza magari nao wakifika kushangaa ajali hiyo ya maajabu
Dereva aliyegongwa na gari aina ya RAV 4 yenye namba T 319 AFLBw Kalvin kaduma ambae alikuwa akiendesha Taxi yenye namba T 510 AYU amejitokeza kuelezea chanzo cha ajali hiyo na jinsi ambavyo alivyonusurika kifo.
Kaduma anasema kuwa alishuhudia gari hilo RAV 4 hiyo ikija kwa mwendo wa kasi na ndipo alipoamua kusimama ili kushuhudia na ghafla alijikuta akifunikwa na RAV 4 hiyo.
Alisema kuwa RAV 4 hiyo iliruka ukingo la barabara ambao una michongoma na kujengwa kwa sementi na kutua juu ya Taxi yake na kushindwa kuendelea na safari na kuwa iwapo asingesimama kuona mtiti wa gari hilo basi dereva huyo wa RAV4 angekufa kwa kugonga nyumba iliyopo jirani ambayo ina hoteli ya Hast Tast .
Hata hivyo amesema hana mchumbuko wowote na kuwa dereva huyo wa RAV 4 kwa sasa anashikiliwa na polisi baada ya kushindwa kukimbia kutokana na pombe

إرسال تعليق