Rais Dk Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa katika mkutano na viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini ya
Kikristo alipokutana nao leo April 23, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam
katika kukutana na makundi mbalimbali ya kidini ili kuondoa changamoto
za kiimani zilizojitokeza nchini hivi karibuni.
Rais Dk Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini
ya Kikristo alipokutana nao leo April 23, 2013 Ikulu jijini Dar es
salaam katika kukutana na makundi mbalimbali ya kidini ili kuondoa
changamoto za kiimani zilizojitokeza nchini hivi karibuni.
Post a Comment