Tamsha la bongomovies lashindwa kufanyika kutokana na mvua kubwa kunyesha Leo!

Tamsha la bongomovies lashindwa kufanyika kutokana na mvua kubwa kunyesha Leo!
Tamasha lililopangwa kufanyika leo viwanja vya Leaders Jijini Dar es salaam na wasanii wa bongo movies limeshindwa kufanyika leo ijayo kutokana na mvua kubwa kunyesha jijini Dar es salaam na hivyo kusababisha viwanja kujaa maji.
Akitoa taarifa hizi katibu wa bongo movies unit, simon mwapagata alisema tamasha hili litafanyika tena ijumaa ijayo.

Chanzo:-  bongomovies.com

Post a Comment

أحدث أقدم