PICHANI: Katibu Tawala Wilaya ya Chunya Sosthenes Mayoka akikabidhi
funguo za vyumba vitatu vya madarasa kwa Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule
ya Msingi Mkwajuni Wilayani Chunya baada ya kufanyiwa ukarabati mkubwa
na Vodacom Foundation. Anaeshuhudia ni Mkuu wa Vodacom Foundation
Yessaya Mwakifulefule pamoja na wanafunzi wa shule hiyo. Hafla hiyo
imefanyika mwishoni mwa wiki. http://ow.ly/kkwHF
Post a Comment