VODACOM YAZIDI KUYABORESHA MAZINGIRA YA SHULE ZA MSINGI VIJIJINI.



PICHANI: Katibu Tawala Wilaya ya Chunya Sosthenes Mayoka akikabidhi funguo za vyumba vitatu vya madarasa kwa Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Mkwajuni Wilayani Chunya baada ya kufanyiwa ukarabati mkubwa na Vodacom Foundation. Anaeshuhudia ni Mkuu wa Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule pamoja na wanafunzi wa shule hiyo. Hafla hiyo imefanyika mwishoni mwa wiki. http://ow.ly/kkwHF

Post a Comment

أحدث أقدم