Kutoka weusi weusini, this time arounds wanadondoka na album yenye
kuonyesha ushindani kati ya ndugu, kaka wawili John Simmon (Joe Makini)
na Nikki Simon, "Joe Makini Vs Nikki wa pili", ambayo mpaka sasa ngoma
nne zimeshakamilika kutoka studio mbali mbali ikiwemo Bhits.
leo hii wameachia single mpya na ya kwanza inayotambulisha album hiyo, "Bei ya Mkaa"
leo hii wameachia single mpya na ya kwanza inayotambulisha album hiyo, "Bei ya Mkaa"
إرسال تعليق