Mkurugenzi
wa Uwekezaji, Mipango na Utafiti kutoka Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi
wa Umma (PSPF) Bw. Gabriel Silayo(kushoto) akitoa ufafanuzi kuhusu
maendeleo yaliyofikiwa na mfuko huo tangu kuanzishwa kwake kulia ni
Meneja Mawasiliano,Masoko na Uenezi kutoka Mfuko huo Bi.Constantina
Martin.(PICHA NA FRANK MVUNGI-MAELEZO).
Meneja
Mawasiliano, Masoko na Uenezi kutoka Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa
Umma (PSPF) Bi.Constantina Martin(kulia) akizungumza na waandishi wa
habari leo Jijini Dar es salaam kuhusu Mpango Mpya wa uchangiaji wa
hiari mahususi kwa ajili ya kuwapatia wananchi wasio wanachama wa mifuko
ya hifadhi ya jamii fursa ya kujiunga na mfuko huo, kushoto ni
Mkurugenzi wa Uwekezaji, mipango na Utafiti Bw. Gabriel Silayo.
إرسال تعليق