Baada ya kutoa nyimbo za member mmoja mmoja kundi la Camp Mulla kutoka Kenya limerudi tena na wimbo mpya (Video) ‘Look @ Me Now’ waliowashirikisha Kanja na rapper kutoka Ghana Manifest.
Aliyekuwa first lady wa kundi hili Miss Karun ameonekana pia katika
video ya wimbo huu ambayo ilitengenezwa kabla hajaachana na kundi miezi
michache iliyopita.
إرسال تعليق