Wakati
ambapo hajamaliza hata saa 24 tangu panga la eviction limpitie mpenzi
wake Oneal, Feza Kessy ameongoza kwa kuwa na nominations 4 za kutoka
wiki hii. Hiyo inamaanisha nini? Inaamanisha kuwa Feza anahitaji kura za
Afrika Mashariki kumwokoa asitoke. Ikumbukwe kuwa Feza aliponea chupu
chupu kutoka jana kwakuwa Nando aliondolewa wiki iliyopita kabla ya jana
lasivyo naye angekuwa nyumbani sasa. Atasurvive awamu hii?
Ugumu unakuja kwakuwa Bimp naye atakuwepo kwenye list ya
watakaopigiwa kura za kuokolewa. Ametajwa mara tatu na Cleo pia akiwa na
kura tatu. Bimp anaonekana kuwa kipenzi cha Afrika kwa sasa hasa
kwakuwa jana aliokolewa na nchi 10.
Mkuu wa nyumba, HoH, Mnaijeria Beverly atamuokoa nani? Tuombe Mungu amhurumie Feza.
Hivi ndivyo nomimations zilikuwa:
Bimp: Elikem and Dillish
Elikem: Bimp and Feza
Cleo: Feza and Beverly
Feza: Elikem and Cleo
Melvin: Beverly and Feza
Dillish: Feza and Bimp
Angelo: Cleo and Bimp
Beverly: Cleo and Dillsih
Elikem: Bimp and Feza
Cleo: Feza and Beverly
Feza: Elikem and Cleo
Melvin: Beverly and Feza
Dillish: Feza and Bimp
Angelo: Cleo and Bimp
Beverly: Cleo and Dillsih
إرسال تعليق