Baadhi
ya Wanafunzi wa Chuo cha Dipromasia, wakijisevia futari wakati wa hafla
hiyo ya futari ya pamoja iliyoandaliwa na Mke wa Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, kwa wanafunzi hao.
Baadhi
ya Wanafunzi wa Chuo cha Dipromasia, wakipata futari wakati wa hafla
hiyo ya futari ya pamoja iliyoandaliwa na Mke wa Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, kwa wanafunzi hao.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiwa katika picha za upendeleo na baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Dipromasia, baada ya kushiriki nao katika futari ya pamoja aliyoiandaa jana Agosti 3, 2013 kwenye Makazi yake Oysterbay, jijini Dar es Salaam
Mke
wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal,
akizungumza na wananfunzi wenzake wa Chuo cha Dipromasia, baada ya
kufuturu wakati alipowaalika katika futari ya pamoja kwenye Makazi yake
Oystabay jijini Dar es Salaam.
Mke
wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Kiume wa Chuo cha
Dipromasia, baada ya kushiriki nao katika futari ya pamoja aliyoiandaa
jana Agosti 3, 2013 kwenye Makazi yake Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Mke
wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Kike wa Chuo cha
Dipromasia, baada ya kushiriki nao katika futari ya pamoja aliyoiandaa
jana Agosti 3, 2013 kwenye Makazi yake Oysterbay, jijini Dar es Salaam.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
Post a Comment