Angalia Picha: Ndege mpya ya Kenya Airways ‘Boeing 777-300ER’ ikiwa inaundwa katika kiwanda cha Boeing

k1Shirika la ndege la Kenya ‘Kenya Airways’ linatarajia kupokea ndege mpya ya Boeing 777-300ER mwezi ujao (October) ikiwa ndio ndege kubwa zaidi ya shirika hilo ambalo pia hufanya safari za kuja Tanzania.
Boeing 777-300ER ina uwezo wa kubeba abiria 400.
Tazama picha za ndege hiyo ikiwa kiwandani wakati wa inaundwa maalum kabisa kwaajili ya Kenya Airways
k2
k3
k4
k5
k6
k7
Picha: Nairobi Wire

Post a Comment

أحدث أقدم