Mwishoni mwa mwezi (June) mtangazaji wa Clouds FM ambaye pia ni mwimbaji Diva Loveness Love alitease ngoma yake ijayo ‘Jicho la Huba’ ambayo hapo awali alitangaza kuwashirikisha RapCellency Prezzo kutoka Kenya pamoja na rapper Stereo.
Diva leo ametweet kuwa Prezzo hatakuwepo tena katika wimbo huo ambao
ameahidi utatoka hivi karibuni, na nafasi yake imechukuliwa na Gosby. “In
the studio with @thisisgosby Jicho La Huba final. The Song will Be out
very Soon. Its a Beautiful Song, So Many Changes!. Vocally”
Diva aliongeza “Jicho la Huba, Artist from Kigoma @thisisgosby
Killing my verses. Talented. For some reason @amb_prezzo will never be
in this song#fischcrab”.
Mpaka sasa staa huyo wa Ala za Roho ameshatoa single mbili ‘Piga Simu’ na ‘Mgonjwa kwa Raha Zako’.
إرسال تعليق