H. Baba na Flora Mvungi wapata mtoto wa kike ‘Tanzanite’ - Picha

mtoto wa H baba
Tanzanite
Ndoa ya msanii wa bongo fleva Hamis Ramadhan aka H.Baba na mkewe Flora Mvungi imefanikiwa kupata mtoto wa kike waliyempa jina la ‘TANZANITE’.

H.Baba amesema kuwa mkewe Flora amejifungua salama jana (September 11) majira ya saa 12.30 jioni katika hospitali ya Marie Stopes iliyopo Mwenge.
mtoto wa H.Baba-2
“Najiskia furaha sana kwasababu hii ndiyo mara ya kwanza naitwa baba, namshkuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa mtoto wa Kike ambaye tumemuita Tanzanite Hamis, nawashukuru wote pia ambao wametuombea dua” Alisema H.Baba

Post a Comment

أحدث أقدم