Msanii
wa muziki wa kizazi kipya, Snura 'Mama wa Manjanga' akiwapa ujumbe wa
Tupo Wangapi??? Wananchi waliojotokeza katika tamasha la 'Tupo Wangapi'
la kuhamasisha jamii kuachana na mitandao ya ngono lililoandaliwa na
Tume ya kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) ndani ya viwanja vya Leaders Club
jijini Dar es Salaam.
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya, Diamond 'Sukari ya Warembo' akiwapa ujumbe
wa Tupo Wangapi??? Wananchi waliojotokeza katika tamasha la 'Tupo
Wangapi' la kuhamasisha jamii kuachana na mitandao ya ngono
lililoandaliwa na Tume ya kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) ndani ya viwanja
vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya, H.Baba 'Mkali wa Mauno' akitoa burudani kwa
Wananchi waliojotokeza katika tamasha la 'Tupo Wangapi' la kuhamasisha
jamii kuachana na mitandao ya ngono lililoandaliwa na Tume ya kudhibiti
Ukimwi (TACAIDS) ndani ya viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
إرسال تعليق