MBOTO – BANA CONGO NI MAPINDUZI BONGO MUVI


MBOTO – BANA CONGO NI MAPINDUZI BONGO MUVIMsanii wa filamu Tzee anayefanya vizuri kwa sasa Haji Salum a.k.a Mboto yupo kwenye mikakati ya mwisho kuachia muvi yake ya kwanza inayokwenda kwa jina la BANA CONGO very sooon baada ya kutoa mashavu kibao kwenye muvi za artists wenzake na kufanya vizuri kiasi cha kuzifanya muvi hizo ziuze sana.

Kwasasa Mboto anafanya kazi chini ya kampuni ya ‘Leo Media’ ambao ndio waliosimamia muvi hiyo na kazi zake zote zitakazofuata kulingana na mkataba wao

Post a Comment

أحدث أقدم