Hii ni habari nzuri kwa mashabiki wa mpira
hasa wale wa klabu ya Man United baada ya klabu hiyo kupost picha ya
mchezaji wa zamani wa timu hiyo Andy Cole akiwa na watoto wa hapa Tanzania.
Mchezaji huyo wa zamani wa timu ya Manchester United, Andy Cole alikuwa hapa nchini kwa udhamini mkubwa wa kampuni ya mitandao ya simu za mkononi ya Airtel kupitia promosheni yake ya Mimi ni Bingwa.
lengo la ziara yake ilikuwa ni kuwapatia uzoefu washindi wa tiketi za promosheni ya Airtel ya 'Mimi ni Bingwa' ambao watasafiri kwenda kuangalia mechi za klabu ya Manchester United moja kwa moja (live) katika uwanja wa Old Trafford pamoja na kusaidia maendeleo ya soka hapa nchini.
Leo kupitia kwenye ukurasa wa instagram wa klabu ya Manchester United walipost picha hii na kuandika ''
#Mufc ambassador and goalscoring legend Andy Cole has been in Dar es Salaam in Tanzania, helping with a project to donate footballs to the Tanzania Football Federation. Good work Andy!

إرسال تعليق