Mkuu wa mkoa wa Mara,John Tuppa amefariki dunia baada ya kuanguka kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya ya Tarime

Mkuu wa mkoa wa Mara John Tuppa amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla wakati akitoka kwenye Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Tarime John Henjewele alipokuwa anajiandaa kwa ziara ya kutembelea wilaya hiyo.
Inaelezwa kuwa Tuppa alipotoka ofisini kwa Mkuu wa wilaya ya Tarime Henjewele alikuwa akitaka kuingia katika gari lake ili aanze ziara ndipo alipoanguka chini na kuanza kutoa povu, alikimbizwa katika hospitali ya wilaya kwa ajili ya kupatiwa matibabu lakini alifariki dunia muda mfupi

Post a Comment

أحدث أقدم