Rihana kupewa tuzo maalum na wabunifu wa mavazi wa Marekani kwa uchaguzi wake wa mavazi

Rihanna anatarajiwa kuwa mwimbaji wa kike atakayepewa heshima kubwa kwenye kiwanda cha mitindo ya mavazi Marekani kwa kupewa tuzo maalum kutokana na jinsi anavyochagua mavazi yake kila anapoonekana.
Council of Fashion Designers of America, Inc imetangaza kumpa Rihanna tuzo hiyo kwa madai kuwa ameleta impact kubwa kwenye kiwanda cha mitindo ya mavazi na kuwa kama balozi wa utamaduni wa Pop.
“Tunajivunia kumpa Rihanna CFDA Fashion Icon Awards kwa impact yake katika kiwanda cha mitindo ya mavazi na kuwa kama balozi katika kumbukumbu za hivi karibuni.” Amesema CEO wa CFDA, Steven Kolb.
Tuzo hiyo itatolewa rasmi june 2 mwaka huu huko New York.
Wengine waliowahi kupata tuzo hiyo ni pamoja na Lady Gada na Kate Moss

Post a Comment

أحدث أقدم