Picha 10 za msanii huyu kutoka BONGO anayefanya mazoezi makali sana kuzidi wasanii wote hapa EAST AFRICA

11891_10152302288779233_1248920434_n
Anajulikana sana kwa jina la ZOLA D KING lakini jina lake kamili ni DAVID M. MLOPE, ni msanii wa Bongo Hip Hop lakini anamuda kidogo hajatoa wimbo wowote mpya. Toka mwaka huu umeingia jamaa bwana katika ukurasa wake huu wa Facebook ameonekana akiwa kwenye mazoezi makali sana sidhani kama kuna msanii wa hapa bongo au nje ya bongo anapiga mazoezi haya anayoyafanya Zola.
Kwanza kama ulikuwa haujui Zola hajawahi kunywa wala hapendi kutumia kilevi, pili Zola huwa hapendi kabisa kwenda DISCO siku ukimwona basi ujue kuna show fulani na jamaa amekuja kutoa ushirikiano tu. hebu endelea kutizama picha hizi zinazomwonyesha akifanya mazoezi.
1013209_10152165382284233_1685759542_n 1560643_10152165402114233_136478181_n 1898184_10152295951489233_490576149_n 1911908_10152288244364233_767794537_n 1939804_724850814212675_1682371398_n 1959709_10152285896189233_700078854_n 1966888_10152287942234233_1778695692_n 1972296_10152302284439233_760852894_n 1972443_10152297840634233_628473522_n

Post a Comment

أحدث أقدم