WAZIRI MKUU MHE. PINDA NA MATUKIO BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA

PG4A4045Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Viongozi wa Kampuni ya Africana  Barrick Gold Tanzania, kwenye makazi yake mjini Dodoma  Machi 25,2014. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Serikali (Director of Government Relations)), Balozi Emmanuel  Ole Naiko, Makamu wa Rais, Deo Mwanyika na Ofisa Mtendaji Mkuu (Chief  Executive Officer ), Brand Gordon. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)PG4A4056Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stephen Masere  (kushoto kwake) wakizungumza na Viongozi wa Kampuni ya Africana  Barrick Gold Tanzania, kwenye makazi yake mjini Dodoma  Machi 25,2014. Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Serikali (Director of Government Relations)), Balozi Emmanuel Ole Naiko, Makamu wa Rais, Deo Mwanyika na Ofisa Mtendaji Mkuu (Chief  Executive Officer ), Brand Gordon. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A4130Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiteta na Mbunge wa Bunge Maalum la Katiba, Kingunge Ngombale-Mwiru, Bungeni Mjini  Dodoma Machi 25, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

أحدث أقدم