Mwakilishi wa Msumbiji, Mira na wa Zambia, Resa wamekuwa
washiriki wa kwanza kutolewa kwenye shindano la Big Brother Africa –
Hotshots.
Resa na Mira walipata kura chache zaidi.
Wasanii waliotumbuiza kwenye eviction show ya kwanza ni Olamide na Phyno wa Nigeria.
Tanzania inawakilishwa na Idris Sultan na Laveda.
Post a Comment