BBAHotshots: Washiriki wawili waondolewa

Mwakilishi wa Msumbiji, Mira na wa Zambia, Resa wamekuwa washiriki wa kwanza kutolewa kwenye shindano la Big Brother Africa – Hotshots.

Resa na Mira walipata kura chache zaidi.
Wasanii waliotumbuiza kwenye eviction show ya kwanza ni Olamide na Phyno wa Nigeria.
Tanzania inawakilishwa na Idris Sultan na Laveda.

Post a Comment

أحدث أقدم