Nay wa Mitego kuja na ‘Akadumba’ chini ya producer Mr T Touch na Sheddy Clever


Rapper Nay wa Mitego yupo mbioni kumalizia wimbo wake mpya uitwa ‘Akadumba’ chini ya producer wake Mr T Touch akishirikiana na Sheddy Clever.

Nay wa Mitego, Mr T Touch na Sheddy Clever
Kupitia akaunti yake ya Instagram, huyo ameandika: Last_night studio session with sheddyclever and Mrttouchez finally touchez AKADUMBA MASTER.
Hivi karibuni Nay aliiambia Bongo5 kuwa kabla mwaka huu haujamalizika anafirikia kuachia ngoma ambayo anadai itakuwa moto wa kuotea mbalia kutokana na maandalizi yake.

Post a Comment

أحدث أقدم