Rapper Nay wa Mitego yupo mbioni kumalizia wimbo wake mpya uitwa
‘Akadumba’ chini ya producer wake Mr T Touch akishirikiana na Sheddy
Clever.
Nay wa Mitego, Mr T Touch na Sheddy Clever
Kupitia akaunti yake ya Instagram, huyo ameandika: Last_night studio
session with sheddyclever and Mrttouchez finally touchez AKADUMBA
MASTER.
Hivi karibuni Nay aliiambia Bongo5 kuwa kabla mwaka huu haujamalizika
anafirikia kuachia ngoma ambayo anadai itakuwa moto wa kuotea mbalia
kutokana na maandalizi yake.
Post a Comment