Breakinh News:- Ajali Mbaya ya Gari aina ya Prado, Wawili wafa Hapo hapo wanne majeruhi, alikuwepo Mmiliki wa Blog ya Shebbyd.

 Kumetokea ajali mbaya ya Gari aina ya Prado iliyotokea katikati ya sengerema na Geita kijiji cha (Kima), Iliyosababishwa na kupasuka kwa tairi ya Nyuma ya gari ikiwa na mwendo kasi na kupinduka, na kusababisha vifo vya watu wawili papo Hapo akiwepo Dereva wa Gari hiyo, Majeruhi wamefikishwa katika Hospitari ya Misheni Sengerema kupata matibabu waliyopata - Taarifa Zaidi Zitawajia Hapa Hapa



Post a Comment

أحدث أقدم