wanawake wa Brazil wakipinga utoaji mimba.
Polisi katika mji mkuu wa Brazili,Rio de Jeneiro wamesema
wameuvunja mtandao mkubwa katika nchi hiyo wa kiliniki za utoaji mimba.
Kufuatia hali hiyo karibu watu wapatao hamsini
wamekamatwa na polisi,wakiwemo madaktari,polisi na wanasheria.oparesheni hiyo ya
kushtukiza linafuatia idadi kubwa ya vifo na wanawake wawili walio tolewa mimba
kinyume cha sheria.
Utoaji wa mimba nchini Brazili ni marufuku pengine kuwe
na sababu kubwa ya kufanya hivyo kitabibu, pengine mwenye mimba albakwa,mama
akiwa katika hatari ya kufa ama afya ya ubongo ikiwa haiko sawa.
إرسال تعليق