Hammer Q kuachia video ya wimbo mpya ‘Jero’


Msanii wa muziki wa taarab na mduara, Hammer Q yupo mbioni kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Jero’ ambapo pia ametoa sababu ya kushindwa kutoa video ya Kibakuli kama alivyowahidi mashabiki wake.
“Wengi walitegemea video ya Kibakuli lakini nikaona kuna mahitaji makubwa sana kwenye muziki wangu, watu wanahitaji muziki wangu. Kwahiyo nikaona huku wadau wakiendelea kusubiri video ya Kibakuli wapokee kazi yangu mpya inayokwenda kwa jina Jero. Video nimefanya na kampuni inaitwa Paradise video iliyoko Arusha, naomba wadau wanisupport,”.

Post a Comment

أحدث أقدم