Sehemu ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wakisikiliza mada mbali mbali
Mwenyekiti wa UVCCM tawi la chuo Kikuu cha Dar es Salaam Theodora Malata akisoma risala ya Umoja wa Vijana wa Elimu ya Juu.
Sehemu ya wanafunzi wa Elimu ya Juu wakisikiliza kwa makini mada mbali.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia Vijana wa CCM kutoka vyuo Vikuu mbalimbali kwenye Mkutano wa Kuadhimisha Kumbukumbu ya Baba wa Taifa uliofanyika Mlimani City.
Wanafunzi wakiwa kwenye ukumbi wa mikutano Mlimani City kwenye mkutano wa Vijana wa Vyuo Vikuu wa CCM kuadhimisha Kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa.
Zeyana Mohamed Haji Katibu Uchumi na Fedha Mkoa wa Vyuo Vikuu Zanzibar akizungumzia kuboreshwa kwa Elimu ambayo itakomboa Watanzania.
Gulatone Masiga akizungumzia ubora wa Rasimu iliyopendekezwa na BMK dhidi Rasimu ya 2 ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
Steve Nyerere akizungumza wakati wa mkutano huo ambapo alisema wakati umefika kwa wasanii wa kitanzania kula milo mitatu kutokana na kukumbukwa kwenye Katiba iliyopendekezwa.
Raymond Mweli kutoka chuo Mzumbe akizungumzia falsafa za Mwalimu Nyerere juu ya Katiba ya CCM.
Wanafunzi wakirekodi matukio kwa kutumia simu zao.
Nasra Khalfani akipokea kadi yake ya uanachama wa CCM
Vijana wakila kiapo cha uanachama wa CCM
(Picha na Adam Mzee )
إرسال تعليق