Mwenyekiti
wa Chadema, Freeman Mbowe akiingia katika ukumbi wa mkutano wakati wa
Kikao cha Kamatii Kuu ya Chama hicho kilipokutana na Wanachama waliotia
nia ya kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2015.
Mwenyekiti
wa Chadema, Freeman Mbowe akiingia katika ukumbi wa mkutano wakati wa
Kikao cha Kamatii Kuu ya Chama hicho kilipokutana na Wanachama waliotia
nia ya kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2015.
Msanii
wa Muziki wa Kizazi Kipya Joseph Haule 'Prof. J' (wa kwanza
kushoto)akiwa katika Kikao cha Kamati Kuu ya Chadema pamoja na wajumbe
wengine wakimkaribisha Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe
Viongozi Wakuu wa Chadema wakiomba dua kabla ya kuanza Kikao.
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara, Salum Mwalimu.
Salum Mwalim akifafanua jambo wakati wa Kikao hicho.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Zanzibar, Said Issa Mohamed akizungumza katika Kikao hicho.
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara, John Mnyika akizungumza katika kikao hicho.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Prof. Abdalah Safari.
Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Wilbrod Slaa
Mwenyekiti
wa Chadema, Freeman Mbowe akizungumza katika wakati wa Kikao cha Kamati
Kuu ya Chama hicho ilipokutana na Wanachama waliotia nia ya kugombea
Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2015.
Wabunge wa Chadema wakiwa katika kikao cha Kamati Kuu.
Baadhi ya viongozi wa Chadema.
Mustafa Muro akiwa katika Kikao hicho.
Wanachama wa Chadema.
Wanachama wakisikiliza hotuba ya Mwenyekiti wa Chadema.
Wanachama wa chama hicho.
Msanii wa bendi ya M4C akitumbuiza.Picha Zote na Francis Dande
إرسال تعليق