Wadau mbalimbali wa muziki nchini leo wamepata fursa ya kusikia
mawaidha kutoka kwa maneja wa msanii wa muziki kutoka Marekani, T.I.,
Jason Geter na kuzungumza na wadau wa muziki mbinu mbalimbali ili
kuuinua muziki wa Tanzania.
Meneja wa T.I. Jason Geter akizungumza na wadau wa muziki Dar
Semina hiyo iliyohudhuriwa na wadau mbalimbali wa muziki wakiwemo wasanii, ilifanyika katika ukumbi wa Little Theater, jijini Dar Es Salaam. Tazama Picha
Meza kuu ya wasemaji wa semina hiyo
P.Funk Majani akiwa na Jason Geter katika semina ya fursa
Aneth Kushaba wa Skylight Band akiulizwa swali
Cpwaa
Geter akifafanua jambo
Kalala Junior akifuatilia semina kwa makini
Lamar akiwa na Cpwaa
Linah akiteta jambo na mdau wakati wa semina
Mabeste akiwa na mama watoto wake
Mmoja wa watu waliokuja na msafara wa T.I.
Meneja wa Mabeste ambaye pia ni mama watoto wake, Lisa akizungumza ndani ya semina ya fursa
P.Funk Majani Jason Geter katika semina ya fursa
Witness akiwa na Abdu Kiba
Abdul Kiba akiwa na maneja Jason Geter
Cpwaa na Geter
Daudi wa Kota akiwa na Jason na DJ wa T.I.
G.Nako akiwa na Jason Geter
Jason Geter na mwimbaji wa Skylight band, Joniko Flower
Jason Geter na Linah
Jason Geter na Witness
Lamar na Jason Geter
Mabeste akiwa na Jason Geter
Mapacha wakiwa na Jason Geter
Mwemba akiwa na Jason Geter
Recho na Jason Geter
Shilole na Jason Geter pamoja na DJ wake
إرسال تعليق