Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipanga makabrasha tayari kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM ambapo masuala ya kujiendesha kiuchumi na mipango ya maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa yanajadiliwa.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa
habari nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma ambapo aliwaeleza juu ya kikao
cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) jana Oktoba
16, 2014 katika siku ya kwanza ya kikao chake cha siku mbili
kinachoendelea mjini Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya
Mrisho Kikwete imejadili na kupitisha Sera ya CCM ya kujitegemea
kimapato na kiuchumi.
إرسال تعليق