Mbunge
wa Arumeru Magharibi, mkoani Arusha Godluck Ole Medeye(kushoto) akitoa
vifaa vya michezo kwa kiongozi wa timu ya Kitongoji cha Kazamoyo,Kata ya
Bwawani kwaajili kuibua vipaji.
Mbunge
wa Arumeru Magharibi, mkoani Arusha, Godluck Ole Medeye(kushoto) akitoa
vifaa vya michezo kwa kiongozi wa timu ya Kitongoji cha Nyamagana ,Kata
ya Bwawani kwaajili kuibua vipaji.
Mbunge
wa Arumeru Magharibi,mkoani Arusha,Godluck Ole Medeye(kushoto) akitoa
vifaa vya michezo kwa kiongozi wa timu ya Kitongoji cha Kazamoyo, Kata
ya Bwawani kwaajili kuibua vipaji.
Mbunge
wa Arumeru Magharibi, mkoani Arusha, Godluck Ole Medeye(kulia) akitoa
msaada wa mabati kwa wananchi waliothiriwa na mafuriko jimboni kwake.
Katibu
wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Nduruma, Ally Sululu(kulia) akipokea
kiasi cha Sh.500,000 kutoka kwa Mbunge wa Arumeru Magharibi, mkoani
Arusha,Godluck Ole Medeye alizoahidi kwaajili ya ukarabati wa Caravati
la Kijiji hicho.
Mbunge
wa Arumeru Magharibi,mkoani Arusha,Godluck Ole Medeye(kulia) akikagua
caravati linalowaondolea kero ya mawasiliano.(Picha na www.woindeshizza.blogspot.com)
إرسال تعليق