Mmoja kiongozi wa Serikali, mwingine wa
mpira. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alikuwa mgeni rasmi mechi ya viongozi
wa dini. Baadae alishuhudia Taifa Stars ikiichabanga Benin kwenye mechi
iliuomalizika kwa 4-1. Mpaka mapumziko Stars walikuwa wakiongoza kwa
2-0. Stars walicheza kandanda ya kiwango cha dunia dhidi ya kikosi
chenye wachezaji 12 wanaocheza kandanda ya kulipwa Ulaya.
إرسال تعليق