Ni swali alilolikwepa sana Diamond kuhusu mahusiano yake na Zari The
Boss Lady wa Uganda. Hivi karibuni kwenye party ya Zari
#ZariAllWhiteParty iliyofanyika Kampala Diamond na Zari wameweka wazi
mahusiano.
Picha zinaonyesha Diamond na Zari wakiFrench Kiss mbele za watu kwenye party iliyofanyika club Guvnor.
Post a Comment