DIAMOND, ZARI NI WAPENZI MAJIBU YAPO HAPA JIONEE

Ni swali alilolikwepa sana Diamond kuhusu mahusiano yake na Zari The Boss Lady wa Uganda. Hivi karibuni kwenye party ya Zari #ZariAllWhiteParty iliyofanyika Kampala Diamond na Zari wameweka wazi mahusiano.
Picha zinaonyesha Diamond na Zari wakiFrench Kiss mbele za watu kwenye party iliyofanyika club Guvnor.

Post a Comment

أحدث أقدم