Mwigizaji na mwanamziki maarufu wa kike
hapa Bongo, Zuwena Mohamed “Shilole” ambae ni mama wa watoto wawili
usiku huu akishereke siku yake ya kuzaliwa maeneo ya Mikocheni jiji
Dar, amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake wa muda mrefu sasa, Nuh
Mziwanda ambae pia ni mwanamziki.
Tunawatakia kila kheri wapendanao hawa.
إرسال تعليق